Aslay
Aslay
  • 50
  • 232 795 555
Aslay - Mama (Official Video)
Katika siku yangu ya special katika maisha yangu sina budi kumshukuru Mungu kwa uhai wangu , kipaji changu na kutupatia kiongozi kama Mama wetu , Raisi wetu MHESHIMIWA MAMA SAMIA. Kiongozi mwenye maona makubwa na mwenye uchungu wa maendeleo katika nchi yetu.
Kwa kutumia kipaji changu nilichojaaaliwa na MUNGU nakushukuru kwa wimbo huu na naazidi kukuombea kwa MUNGU wetu akulinde. AHSANTE SAMA MAMA 🤍
#Kaziiendelee Mama Yetu
Na kwakuwa leo ni siku yangu Natumaini Utanifatilia Hata Kwenye Runinga
Переглядів: 322 281

Відео

Aslay September 30th 2023 Official Live Concert Promo
Переглядів 18 тис.10 місяців тому
#miminibongoflava #aslay #iambongoflava

КОМЕНТАРІ